Subaru legacy

Subaru legacy

Sio mzoefu wa magari ila kuna gari aina ya shbaru legacy inanivutia sana ila kumekuwa na maneno mengi kuhusu ulaji wa mafuta pamoja na spare nimelileta kwenu wataalam mnao faham vzr gar hizo naomba uzoefu wenu kwenye comment
Ni gari nzuri though kwa maoni ya wengi haina matumizi mazuri ya mafuta.
 
Sio mzoefu wa magari ila kuna gari aina ya shbaru legacy inanivutia sana ila kumekuwa na maneno mengi kuhusu ulaji wa mafuta pamoja na spare nimelileta kwenu wataalam mnao faham vzr gar hizo naomba uzoefu wenu kwenye comment
Achana na maneno ya mtaani.

Ni gari nzuri sana hasa kama 2.5L ( Turbo ).

Kuhusu mafuta ( mguu wako na matumizi yako )

Spare 🥴 .. kama utanunua yenye daraja zuri, haitokusumbua kwenye hilo eneo kwa mda mrefu.. ila muhimu kufanya preventive maintenance.. itakusaidia kuishi na hiyo gari na ina ya gari zingine pia..
 
Back
Top Bottom