chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Hii gari kama mafundi wa kukisia unaweza kulia kilio cha kodi.
Gari inatumia kadi tofauti ambazo kila kadi inajitegemea kwenye kujiendesha.
Kila kitu kina kadi yake na ikiingua basi hakuna lengine ni kutoa na kuweka mpya au used.
Nilichopenda mfumo wake wakuendesha unajitegemea kila part ukilinganisha na brand za Toyota yani vitu kibao vinaweza kupita sehemu moja ukilinganisha na subaru