Subaru model za Forester na Impreza zina mfumo uliojitenga, kila ufanyaji kazi unategemea card yake

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Hii gari kama mafundi wa kukisia unaweza kulia kilio cha kodi.
Gari inatumia kadi tofauti ambazo kila kadi inajitegemea kwenye kujiendesha.
Kila kitu kina kadi yake na ikiingua basi hakuna lengine ni kutoa na kuweka mpya au used.



Nilichopenda mfumo wake wakuendesha unajitegemea kila part ukilinganisha na brand za Toyota yani vitu kibao vinaweza kupita sehemu moja ukilinganisha na subaru

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…