Subaru outbox mnyama hatari kuliko subaru zingine

Unataka gari lichakachuliwe liwe na speed zaidi ya 180 kwa barabara zipi hapa nchini...?

Kwa kifupi haiwezeka gear box imetengenezwa kuhimili mwisho 180
 
Unataka gari lichakachuliwe liwe na speed zaidi ya 180 kwa barabara zipi hapa nchini...?

Kwa kifupi haiwezeka gear box imetengenezwa kuhimili mwisho 180
Unaeza vunja ECU ukajiongezea zako ila itabidi ubadili gear ratios.
 
Nilitarajia nione picha ya mnyama aliyesemwa ni mkali ila cha kushangaza imewekwa picha ya gari
 
Subaru Outback, hii ndio subaru nayoikubali kuliko zote kwa design na muonekano ukiacha ile Legacy sedan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…