Subaru wrx sti for sale

Ina deserve aisee,ila watoto wa mama hawatajua thamani yake.
 
48m...nilijua mistype kumbe real..
Waafrika na sisi jamani, sasa hako ulikanunua bei juu ufanyie nin kwa mazingira yetu.
Dar speed kubwa labda uendeshe usiku...
Kijijini kwenu kanafika na kurudi na nn
 
😂😂 Mil 48 ?? embu eleza basi nini special kuhusu hii saloon car.. exceptional feature.. please don't tell me kuhusu boxer engine blabla.. hii ni normal boxer engine
 
Mnao jua hiyo gari, mlitakiwa kushusha nondo ili watu waielewe wanaweza ingia mifukoni
Asipoteze hata Muda nao mzee baba,hakuna car enthusiast asiyeijua hio Gari.Hao wote wanaoshangaa hio gari watulie wakanunue Gari za wanyonge walizozizoea kama brevis,Rav 4 old model,Vitara old model na Gari za dizaini hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…