Subira yavuta heri- ngono zembe yaweza kuharibu maisha yako, ngono salama ndio mpango

Subira yavuta heri- ngono zembe yaweza kuharibu maisha yako, ngono salama ndio mpango

WLF Tanzania

Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
38
Reaction score
22
Wana jamvi,

Leo tumeona tuwakumbushane mambo kadha wa kadha kuhusu kujihusisha na ngono, hasa kama haupo tayari kuwa na mtoto.

Kuna hatari kubwa ya kupata mimba unapojihusisha na ngono, lakini kuna njia nyingi za kujiepusha mpaka pale unapokouwa tayari.

Baadhi ya njia za ngono salama/ kuzuia mimba zisizotarajiwa:

  • Kufanya ngono salama
  • Kutumia vidonge vya dharura vya uzazi wa mpango
  • Kusubiri wakati unaofaa

Ni njia gani kati ya hizi inakufaa zaidi?

Karibuni
 
Inayo nifaa mimi ni 'Withdraw method".
Hiyo ni nzuri pia. Wengi walio kwenye mahusiano wanaipenda kwasababu wanasema inawaongezea ukaribu (intimacy), tofauti na pale wanapotumia mipira ya Kondomu. Lakini katika hii pia unatakiwa kuwa makini.
 
Back
Top Bottom