WLF Tanzania
Member
- Oct 9, 2014
- 38
- 22
Ni kweli kabisa. Na hii ndio njia pekee ambayo inakupa uhakika kwa asilimia mia kuwa hutopata magonjwa ya zinaa wala mimba zisizotarajiwa.kusubiri hadi ndoa pia unajiepusha na dhambi kwan dini zote zinakataza sex before ndoa
Wise words
Hiyo ni nzuri pia. Wengi walio kwenye mahusiano wanaipenda kwasababu wanasema inawaongezea ukaribu (intimacy), tofauti na pale wanapotumia mipira ya Kondomu. Lakini katika hii pia unatakiwa kuwa makini.Inayo nifaa mimi ni 'Withdraw method".