Subira yavuta : kheri...japo maskini....wa ...kulala chini
Hila Tajiri wa upendo,
Najua Utaki hata kuniona
Sura yangu imepoteza Nuru
Kidonda umekitia Shubiri,
Moyo umeutoboa kwa spoko navuja machozi kama mtoto.
Hata ukienda Mbali autonifuta Goals
Subira yavuta kheri..nakuomba njoo tena.
Kweli nimeamini penzi changamoto.