Subiri kwanza napiga deki

Joined
Jun 30, 2017
Posts
69
Reaction score
21
mama leo kaamka akaniambia nipige deki me bila hiyana nikachukua lungu lililikuwa stoo nikaanza kupiga deki ya TV sasa ndo kaludi mda huu naona amechukua karatasi anapga mahesabu yake nahisi atakuwa anataka kunipa hela kutokana na kazi nzuri niliyofanya
 
Huu uzi sijui kama utapata wachangiaji. Jaribu kuandika vitu serious kidogo wakati mwingine [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hapo matokeo yametoka una m-division O wako unakuja kutuletea utumbo huku kupunguza stress zako! shubaaaanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…