H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 7,840 Reaction score 18,115 Aug 16, 2025 #21 Uchaguzi huu utasababisha mambo mengi sana, baadhi ni pamoja na: 1. Watanganyika watadai taifa lao, na hawatataka tena kuja kutawaliwa na mzanzibari. 2. Serikali itakayoundwa itakuwa ndiye adui mkuu ambaye wananchi watalazimika kupambana naye. 3. Adui wa pili ambaye watanganyika watapambana naye ni kundi la wanamtandao linaloongozwa na familua ya mzoga.
Uchaguzi huu utasababisha mambo mengi sana, baadhi ni pamoja na: 1. Watanganyika watadai taifa lao, na hawatataka tena kuja kutawaliwa na mzanzibari. 2. Serikali itakayoundwa itakuwa ndiye adui mkuu ambaye wananchi watalazimika kupambana naye. 3. Adui wa pili ambaye watanganyika watapambana naye ni kundi la wanamtandao linaloongozwa na familua ya mzoga.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,572 Reaction score 15,610 Aug 16, 2025 #22 Allen Kilewella said: Kila nikiwaza aina ya uchaguzi wa mwaka huu, sielewi kabisa. Click to expand... Sawa. Mawazo yako yanaheshimika. Sisi wengine Uchaguzi Mkuu unaendelea vizuri.
Allen Kilewella said: Kila nikiwaza aina ya uchaguzi wa mwaka huu, sielewi kabisa. Click to expand... Sawa. Mawazo yako yanaheshimika. Sisi wengine Uchaguzi Mkuu unaendelea vizuri.
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,330 Reaction score 4,048 Aug 16, 2025 #23 Viongozi wa dini( zote hasa kubwa) wakiamua , uchaguzi utasogezwa mbele, KATIBA mpya + mfumo bora wa Uchaguzi utakuwepo...hawajafahamu tu NGUVU kubwa walionayo
Viongozi wa dini( zote hasa kubwa) wakiamua , uchaguzi utasogezwa mbele, KATIBA mpya + mfumo bora wa Uchaguzi utakuwepo...hawajafahamu tu NGUVU kubwa walionayo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 16, 2025 #24 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Aug 16, 2025 #25 Smart911 said: Ngoja tuone... Cc: Mahondaw Click to expand... October hebu ifike hekaheka zipunguee lo
Smart911 said: Ngoja tuone... Cc: Mahondaw Click to expand... October hebu ifike hekaheka zipunguee lo
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Aug 16, 2025 #26 Rais wa muda ni Nchimbi