Dada na kaka wakuu
Hii comment ni maarufu sana kwenye nyuzi mbalimbali JF. Binafsi inanikera sana.
- kama Huna cha kukomenti pita kima kimya. Na hii inaonyesha hata mtaani ni mmbea wa kudandia usivovijua na hata visivyo kuhusu. Mtoa Mada anajua Fika amepeleka Mada yake sehemu sahihi na watu watakuja lkn bado mwingine anajaza nafasi na kusema subiri wanakuja....shubaahmiit.
Nb: nimejiandaa kisaikolojia hapa pia kuona Iyo komenti