CCM Chanzo Cha Matatizoni shilingi za kitanzania 5,000/= kwa lita moja. hiyo ni bei ya mafuta ya kawaida tu kama MO, VIKING, KORIE n.k
mi naelekea kuchanganyikiwa wadau.........msisahau nondo na cement vilishapanda zamani tu kutoka 11,000 hadi 16,000 sasa na nondo kutoka 15,000 hadi 22,000/= EEH MUNGU TUSAIDIE
Pole sanani shilingi za kitanzania 5,000/= kwa lita moja. hiyo ni bei ya mafuta ya kawaida tu kama MO, VIKING, KORIE n.k
mi naelekea kuchanganyikiwa wadau.........msisahau nondo na cement vilishapanda zamani tu kutoka 11,000 hadi 16,000 sasa na nondo kutoka 15,000 hadi 22,000/= EEH MUNGU TUSAIDIE
ahsanteni sana!Pole sana
aisee, sawa sio kesi basi avishushe aliyopoVitu hivi alipandisha marehemu siku chache tu ndio akafa
Si rahisi ivyo kama unavyofikiri...aisee, sawa sio kesi basi avishushe aliyopo
Yupo kwenye mchakato... Asiposhusha atapandisha mshahara ili kufidia ongezeko la vitu kupanda beiaisee, sawa sio kesi basi avishushe aliyopo
Akimaliza minne ya marehemu ataanza yakwakeHivi siku hizi tunasema mitano tena ?