Submeter za Kisasa. Wakazi wa Mbeya tumewafikia

Submeter za Kisasa. Wakazi wa Mbeya tumewafikia

Joined
Oct 24, 2018
Posts
34
Reaction score
48
CATHERINE.jpg
 
Umeme wa Tanesco ni shilingi 321,000. Sasa wewe unauza Mita 150,000 si bora tumailzane na Tanesco tu.
 
Asante Kwa Comment yako. Endelea kufuatilia Habari na Matangazo Yetu.
Ni kweli Bei ya Submeter ni 150,000.
 
Iwapo unao Wapangaji kadhaa, na Wanapitia changamoto ya umeme wa kushare nafikiri hii ni suluhisho muafaka...!

Tatizo ni bei, mbona kubwa hivyo?
 
Iwapo unao Wapangaji kadhaa, na Wanapitia changamoto ya umeme wa kushare nafikiri hii ni suluhisho muafaka...!

Tatizo ni bei, mbona kubwa hivyo?
Hapana Bei sio Kubwa, huwezi kulinganisha na Mita ya Tanesco. Nakufungia kwa 150,000 Pamoja na Ufungi
 
Back
Top Bottom