NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,804 Reaction score 2,482 Apr 27, 2024 #2 Umeme wa Tanesco ni shilingi 321,000. Sasa wewe unauza Mita 150,000 si bora tumailzane na Tanesco tu.
Umeme wa Tanesco ni shilingi 321,000. Sasa wewe unauza Mita 150,000 si bora tumailzane na Tanesco tu.
Mwangajamii Tanzania Member Joined Oct 24, 2018 Posts 34 Reaction score 48 Apr 27, 2024 Thread starter #3 Asante Kwa Comment yako. Endelea kufuatilia Habari na Matangazo Yetu. Ni kweli Bei ya Submeter ni 150,000.
Asante Kwa Comment yako. Endelea kufuatilia Habari na Matangazo Yetu. Ni kweli Bei ya Submeter ni 150,000.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 27, 2024 #4 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Apr 27, 2024 #5 Iwapo unao Wapangaji kadhaa, na Wanapitia changamoto ya umeme wa kushare nafikiri hii ni suluhisho muafaka...! Tatizo ni bei, mbona kubwa hivyo?
Iwapo unao Wapangaji kadhaa, na Wanapitia changamoto ya umeme wa kushare nafikiri hii ni suluhisho muafaka...! Tatizo ni bei, mbona kubwa hivyo?
Mwangajamii Tanzania Member Joined Oct 24, 2018 Posts 34 Reaction score 48 Apr 28, 2024 Thread starter #6 kinje ketile said: Iwapo unao Wapangaji kadhaa, na Wanapitia changamoto ya umeme wa kushare nafikiri hii ni suluhisho muafaka...! Tatizo ni bei, mbona kubwa hivyo? Click to expand... Hapana Bei sio Kubwa, huwezi kulinganisha na Mita ya Tanesco. Nakufungia kwa 150,000 Pamoja na Ufungi
kinje ketile said: Iwapo unao Wapangaji kadhaa, na Wanapitia changamoto ya umeme wa kushare nafikiri hii ni suluhisho muafaka...! Tatizo ni bei, mbona kubwa hivyo? Click to expand... Hapana Bei sio Kubwa, huwezi kulinganisha na Mita ya Tanesco. Nakufungia kwa 150,000 Pamoja na Ufungi