chadema masalia wanamuonea tu mbaba wa watu anatia huruma kweli dah!Submissions za Dr. Rugemeleza Nshala et al, kuoe Dodoma Court of Appeal zimekuwa nzuri. Zimekidhi haja!
Kila mmoja kwa imani yake tusali na kuomba Watukufu majaji wasipigiwe simu, na wakipigiwa wakatae watende haki.
Semeni AMEN.
By the way Majaji walikuwa akina nani?
Wale wahuni wamelowa hadi kwa boxers, jaji wao Mwanga leo ana tumbo la kuhara dadeq.Kwani kuna nini??
Na kweli wakidomdoshewa vibilioni, watageuka nyuma na kumuunga mkono Rostam AzizTuombe pia wasidondoshewe chochote kitu kwenye account zao.
Mabwabwa ya Abdul nenden mkawasaidie mabwabwa wenzenu mliyoyatangulizq kijinga kufungua kesi uchwara nguruwe nyinyichadema masalia wanamuonea tu mbaba wa watu anatia huruma kweli dah!
huenda viongozi hawamuelewi ndio maana wanaeleza mambo yaleyale upya ili sijui wapate kiki ama ni dharau tu kwa huyo mbaba wa watu,
Aeems huna even abcd kidogo za sheria!watu bana mnajitekenya mnaanza kucheka