Mwangajamii Tanzania
Member
- Oct 24, 2018
- 34
- 48
Asante kwa Swali lako Zuri. Kwanza Submeter zinafungwa kuanzia mbili. Kama ndio unaanza kufunga kwenye nyumba Ambayo hujawahi kuzifunga. Faida ya Submeter inauweza wa kukata umeme endapo unit zako zimekwisha.Hizi zinafanyaje kazi? au ndiyo kama hizi hizi zilizopo sokoni ambazo zinafanya counting tu ya matumizi ya umeme?
Maelezo yako hayajitoshelezi mh. Mtoa mada.Asante kwa Swali lako Zuri. Kwanza Submeter zinafungwa kuanzia mbili. Kama ndio unaanza kufunga kwenye nyumba Ambayo hujawahi kuzifunga. Faida ya Submeter inauweza wa kukata umeme endapo unit zako zimekwisha.
Asante kwa Swali lako Zuri. Kwanza Submeter zinafungwa kuanzia mbili. Kama ndio unaanza kufunga kwenye nyumba Ambayo hujawahi kuzifunga. Faida ya Submeter inauweza wa kukata umeme endapo unit zako zimekwisha.
Kapewa na mtu amuuzie 😹Unaeleza juu juu mno.
Hii mita nzuri sana ukiwa unaishi na watu ambao wanazingua kununua umeme....Toa ufafanuzi
1. Kwanini zifungwe kuanzia mbili
2. Mwingiliano wake na Miata ya tanesco
3. Kwenye picha Zina tarakimu, za kuingiza namba za Nini?
4. Kisheria zikoje, tanesco hawatoleta shida?
5. Mf umeme, ushaungizwa MITA kubwa, mgawanyo ukoje Kwa wapangaji wawili.
6. Unaziuzaje
N.k
Hii mita nzuri sana ukiwa unaishi na watu ambao wanazingua kununua umeme....
Nlipata frem mahali, umeme ni wa kushea vyumba vya wapangaji na frem za biashara, changamoto inakuja umeme umekata mpangaji hayupo au yupo anakujibu hana hela.
Mi nikafunga haka kadude, kwahiyo umeme wao ukiisha unazima kwao mi wangu upo.
Changamoto yake....
1: umeme lazma uingize token kwenye mita ya tanesco kisha unascan msg kwenye app ya simu ili kupata token nyingine umeme uhame (usumbufu)
2: kuna siku waliweka umeme unit 5.5 ila hiki kimita ikasomeka 5.0 sasa hiyo 0.5 sijui ilipotelea wapi
All in all nakapenda mie kameniondolea kelele japo hawakataki make walikua wamezoea kitonga nawanunulia
1: Mi ndio natumia main meter, hivyo umeme wangu ukiisha nakwao unazima, nikiweka unarudi, mtumiaji wa main meter anatakiwa awe na umeme wa uhakika ili asikatie watumiaji wa sub meter.1) Submita yako ikiishiwa unit, so umeme kwako utakata? ila wale wa main mita wanaendelea na umeme wao?
2) Inapotokea kwako umeme umeisha, na wale wa main mita nao pia umeme umeisha, units zako unaziingiza vipi pasipo wale wa main mita kuzilamba kidogo?
3) Wewe mwenye submita, units/umeme wako unanunua kawaida tu on your own kwa kutumia number ya main mita?
1: Mi ndio natumia main meter, hivyo umeme wangu ukiisha nakwao unazima, nikiweka unarudi, mtumiaji wa main meter anatakiwa awe na umeme wa uhakika ili asikatie watumiaji wa sub meter.
2: Hawawezi kuzilamba zangu, kwasababu wote tukiishiwa, mi nikiweka utawaka kwangu tu, ila wao wakiweka umeme wao hautawaka hadi namie niweke.
3: Ndio main meter nanunua kawaida tu, ila meter ndogo lazma wafanye vending
Mtumiaji wa main awe na umeme wa uhakika, mi nlichagua kubaki na main make nlijua wapangaji wakitumia main itakua kazi bure, wao ni wanunuaji wa umeme wa buku mbili mbili.....Ok. Kumbe ni kama submita zile zile tu zilizopo sokoni.
Tabu iko pale pale tu kwa mtumiaji wa submita. Pasipo Main Mita kuwa na luku, submita anabaki gizani na units zake. 😀
We need something beyond that.
Mtumiaji wa main awe na umeme wa uhakika, mi nlichagua kubaki na main make nlijua wapangaji wakitumia main itakua kazi bure, wao ni wanunuaji wa umeme wa buku mbili mbili.....
Hivi kuna namna yoyote kinaongeza matumizi ya umeme???That's it.
Hajasimuliwa vizuri labdaUnaeleza juu juu mno.
Ulikanunua bei gani mremboHii mita nzuri sana ukiwa unaishi na watu ambao wanazingua kununua umeme....
Nlipata frem mahali, umeme ni wa kushea vyumba vya wapangaji na frem za biashara, changamoto inakuja umeme umekata mpangaji hayupo au yupo anakujibu hana hela.
Mi nikafunga haka kadude, kwahiyo umeme wao ukiisha unazima kwao mi wangu upo.
Changamoto yake....
1: umeme lazma uingize token kwenye mita ya tanesco kisha unascan msg kwenye app ya simu ili kupata token nyingine umeme uhame (usumbufu)
2: kuna siku waliweka umeme unit 5.5 ila hiki kimita ikasomeka 5.0 sasa hiyo 0.5 sijui ilipotelea wapi
All in all nakapenda mie kameniondolea kelele japo hawakataki make walikua wamezoea kitonga nawanunulia