Submita kata Umeme

Kinaongeza matumizi kwenye main meter.Matumizi baada ya kukifunga yanapanda.
Ni Cha kijinga sana .
Wait....mie natumia main, halafu hicho nimewaachia wapangaji wanakishea watu watatu, ila wanalalamika matumizi yameongezeka.

Ni kweli kitakua kinawaongezea matumizi ya umeme?

Na kuna namna kinakata umeme? Niliweka 5.5 ikasoma 5.0 hizo point tano zilienda wapi sasa.
 
Hizi zinafanyaje kazi? au ndiyo kama hizi hizi zilizopo sokoni ambazo zinafanya counting tu ya matumizi ya umeme?
Asante sana kwa swali lako. Submita unatumia umeme kulingana pesa yako. Na ukimaliza umeme wako submita itakukatia Umeme yenyewe more 0757 838927
 
Raha ya hiki ki mita ufunge viwili. Kimoja kwa Ajili yako na kingine kwa Ajili ya wengine. Wakimalize watalala giza wenyewe. Bei ya 110,000. Karibu
0757 838927
Ukifunga viwili inaleta tofauti gani? Iwapo kikiwa kimoja mfano room mbili watumie sub meter room mbili watumie mita ya tanesco, italeta tofauti ipi kuongeza sub meter?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…