Mwangajamii Tanzania
Member
- Oct 24, 2018
- 49
- 65
Kama haupo Dar es salaam, mzigo wako unqkufikia popote Ulipo.... kuhusu bei. 110,000 kwa Submita moja. Ila zinaanzia mbili.Bei zikoje,na kama haupo dar inakuwaje
Hapo kwenye kuanzia viwili maelezo tafadhari hujaeleweka.Tumia unit zako mwenyewe bila kushea na wengine.
Je unaishi kwenye nyumba ya kupanga na kuna changamoto ya matumizi Umeme?
Au wewe ni mmiliki wa Nyumba za kupangisha na kila siku watu wanagombana kwa sababu ya Umeme?
Basi suluhisho limepatikana. Fungia kila mpqngaji Submita ya kisasa... kila mmoja Atatumia unit zake kulingana pesa yake. Akimaliza Umeme wake ukiisha tu umeme utazimika kwake tu. Na wengine wanaendelea,
KUMBUKA
Vinafungwa Kuanzia Viwili
0757 838927
Kama haupo Dar es salaam, mzigo wako unqkufikia popote Ulipo.... kuhusu bei. 110,000 kwa Submita moja. Ila zinaanzia mbili.
Kama upo dar nakuletea unalipia 130,000 pamoja na Ufundi
110,000 bila ufundi.Bei yake