Subneting - Part I (Kwa kiswahili)

Subneting - Part I (Kwa kiswahili)

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
423
Reaction score
116
Wakubwa,kwakuwa wengi wetu tumekuwa tukisumbuliwa na masuala ya Subneting,hivyo tumeandaa hii Video inayofafanua mambo hayo.

Subneting- Part I(kiswahili)

Ili kuakikisha tunaenda pamoja,tutakuw na HW baada ya kila makala,basi usisite kutuma Homework yako kwenda network@afroit.com ili kuhakikisha wadau wamefahamu ipasavyo.

Ingawa tumekuwa tukipokea e mails nyingi kwa siku,lakini tutajitahidi kujibu e mail zote kadri tuwezavyo hivyo usione tumeuchuna pindi siku ikipita bila majibu.
 
Hongera sana kwa hili somo na michango yako mingine you are my man
 
Back
Top Bottom