Ili kuakikisha tunaenda pamoja,tutakuw na HW baada ya kila makala,basi usisite kutuma Homework yako kwenda network@afroit.com ili kuhakikisha wadau wamefahamu ipasavyo.
Ingawa tumekuwa tukipokea e mails nyingi kwa siku,lakini tutajitahidi kujibu e mail zote kadri tuwezavyo hivyo usione tumeuchuna pindi siku ikipita bila majibu.