salaam wana jamii
naomba kujuwa kuhusu pesa ya kujiki,u wakati unapo ajiliwa,mimi nimeajiriwa hivi karibuni nataka kujuwa sheria inazungumziaje kuhusu haya malipo.nitalipwa pesa yote ya mwezi kama pesa ya kujikimu wakati naanza kazi au siku 14 au 7?
naomba msaada na kufungu cha sheria
asanteni
Mbona hujasema kama umeajiriwa serikalini au kwenye kampuni binafsi? Kama ni serikalini fedha ya kujikimu ni siku 7 na kiwango kinategemeana na Elimu/Mshahara wako na sehemu ulipoajiriwa mfano Jiji, Manispaa, Mji, Wilayani au sehemu nyingine