Substitution za Prof. Nabi zinadhihirisha kuwa yeye ni "big brain coacher"

Substitution za Prof. Nabi zinadhihirisha kuwa yeye ni "big brain coacher"

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hakuna wakumfananisha nae nasema tena hakuna, hakika mwamba kutoka Tunis kocha wa mpira wanayanga hawana Cha kumdai kwa kazi kubwa anayoipiga ikiambatana na mataji (makombe) yanayorejea mitaa ya jangwani baada ya kupotea kwa muda mrefu.

Katika mchezo wa Singida big stars vs Yanga mwamba kabisa kocha wa mpira Prof. Nabi kafanya kile kile alichokifanya kwenye gemu ya Yanga dhidi ya Dodoma jiji.

Baada ya kuona milango ni migumu Ya Singida bigstars mpaka dakika ya sabini na tisa (79) kocha Nabi anafanya sub ya wachezaji watatu Mayele, musonda na kisinda.

Baada ya dakika tatu, nyavu za singida bigstars zinatikisika mwamba kabisa "Fistoni kalala Mayele" Anaandika bao na kuifanya Yanga itinge fainali ya kombe la shirikisho.

Hakika Prof Nabi ni "big brain coacher" hana mpinzani katika ligi yetu hii ya Nbcpl.
 
Mbona sikuona hayo maajabu siku ile?
IMG-20230418-WA0021.jpg
 
Angefanya siku na simba alipigwa misumari miwili akakoswa goli 7 akaongea mpaka kimakonde.
 
Back
Top Bottom