Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Mnyama alikuwa hana madhara maana alishazidiwa point 8, angefungwa tena angezidiwa point 11, sasa Makolokolo ulitaka ligi ionekane haina ushindani?Ni kwa myama tu hizo sub hazikufua dafu
Na ndiyo kombe lao HiloMnyama alikuwa hana madhara maana alishazidiwa point 8, angefungwa tena angezidiwa point 11, sasa Makolokolo ulitaka ligi ionekane haina ushindani?
Haya matokeo ni Kipofu aliona Mwezi baada ya kufungwa mara nyingi na Yanga.View attachment 2630690
Mkali wa super sub
Basha ako ndio Profesa
Nenda kawacheke na Azam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haujaona ile sub ya prince dube ilivyoleta matokeo.Leo hatujaona [emoji1787]
Vipi sub za leo ile trick haikuwepo?Nabi ana mitego sana, alipo ingiza sub za kwnza Ile ilkua ni trick ya kuwasona zaid ndipo akajilupua na miamba mitatu.
Na leo ameamua tena ili kuwafariji USM ALGERAliamua tu kuwaachia, ili Mwenyekiti Mangungu apate cha kuwafariji mashabiki.
Mechi na Marumo tayari mkampa majina yaki warriorsThe Game changer.
Miamba mitatu ikafukuza mwizi na kuacha mlango wazi.Nabi ana mitego sana, alipo ingiza sub za kwnza Ile ilkua ni trick ya kuwasona zaid ndipo akajilupua na miamba mitatu.
Ikawafanya ngoma iwe droo 2-2 kwa mkapa dhidi ya USM ?Haujaona ile sub ya prince dube ilivyoleta matokeo.