Subtitle kwenye app ya movie box

Subtitle kwenye app ya movie box

loliondokwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
1,376
Reaction score
1,752
Habari za mida waungwana,kuna mdau mmoja niliona alirecomend app ya movie box kwamba ni nzuri na simple, ni kweli nimeikubali ipo vzr, shida ipo kwenye subtitles huwa kuna baadhi ya movie subtitles huwa sinachelewa au inakuwa mbele yofauti na tukio husika,nimejaribu kucheki namna ya kuadjust viendane nimechemka, msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom