Subway mlimani inakuletea huduma ya delivery mpaka nyumbani kwako

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,607
Reaction score
8,381
Je, wewe ni mpenzi wa sandwich na huna muda wa kutembelea mgahawa wa subway kwasababu upo busy ofisini? Au upo nyumbani unajisikia uvivu kupika na hujisikii kutoka na ungependa upate sandwich?
Subway mlimani wameamua kukurahisishia kwa kukuletea huduma ya deliver mpaka ulipo.
Piga simu namba 0759 782930
Kuanzia saa sita mchana mpaka saa moja na nusu usiku

Bei zao ni kuanzia sh 5000 kwa sandwich mpaka 15000.

Ahsanteni sana
 

Attachments

  • 20181022_224251.jpeg
    24 KB · Views: 30
Mbona naona mboga tu, wapi ugali hapo?
 
Sorry!! Delivery fee ni 1000 kwa walio maeneo ya sinza, mwenge, mikocheni, mawasiliano, survey, makumbusho na kijitonyama.

Kwa walio nje ya maeneo hayo, bei inaongezeka kutokana na umbali aliyopo
Wa mabibo je?
 


mmh inatamanisha nikija mlimani nitaonja hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…