Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UzaSubwoofer yangu naona inashida. Nikiwasha upande wa bluetooth inalia alafu inaacha kutoa sauti wakati bluetooth bado inaonekana imeunganishwa. Sijajua ni kwa sababu gani, mwenye ujuzi anisaidie tafadhali
Kama ukiitumia kwa njia ya kawaida inafanya kazi vizuri basi huenda tatizo likawa moja wapo ya haya:kelphin njoo huku