Success factory in town

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
Hello JF,

Nimekutana na fursa ya concurrency ambayo bado ni new na ina market penetration.
So karibuni kupata high lights zake na kwa zaid nichek inbobo......

Wasalam.
 
Inbobo kufanya nini? Weka hapa outbobo wote tufaidike
 
Inbobo kufanya nini? Weka hapa outbobo wote tufaidike

The coin is "DagCoin"
For now there is an opportunity of buying coins at cheap prices and invest them after few months selling them high.
There are many opportunities for now and welcome for a session at your interest...

kwakifup ndo hivyo mzeee baba
 
Polomoka vyote uko inbox ndo nini nachukia sana MTU kusema njoo inbox
 
Mkuu toa maelezo ya kutosha na kuleweka
Hizo dragcoin ndo kitu gan?
Unazinunua wapi na unazitunza wapi hadi uje uziuze tenA?
Ni biashara ya mtandaoni au kuna duka maalum la kuuza coin?
Coin moja ni bei gani.....ni tsh au dollar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…