Sudan: Jeshi lakubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito

Sudan: Jeshi lakubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mkuu wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito kufuatia mazungumzo na Marekani na Umoja wa Mataifa (UN)

Mjumbe Maalum wa UN, Volker Perthes amesema majadiliano hayo yametoa Muhtasari wa Mpango unaoweza kukabiliana na Mapinduzi ya Mwezi Oktoba

Miongoni mwa yaliyopo kwenye Mpango huo ni pamoja na kurejeshwa kwa Waziri Mkuu aliyeondolewa Madarakani, Abdalla Hamdok

======

Sudan's military chief, General Abdel Fattah al-Burhan, has agreed to accelerate the return to a transitional government following talks with the United States and the United Nations.

The UN special envoy for Sudan, Volker Perthes, said the discussions had yielded the outline of a potential deal to reverse last month's coup, including the reinstatement of the deposed prime minister, Abdalla Hamdok.

He, however, remains under house arrest, though four of his ministers are being released.

The alliance which led the protests that brought down the former president, Omar al-Bashir, has called for two days of general strikes - on Sunday and Monday - in protest against military rule.

Source: BBC
 
Sasa tunasubiri wamgeukie na Rais pia kabla hawajatimiza lengo lao ovu la kumfunga Mbowe ki-uonevu.
 
Back
Top Bottom