B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Apr 22, 2023 #21 Mufti Lion said: Ila inatisha kuondoa ugai wa binadamu. Sijui Kwa nini nimeangalia hii video. Click to expand... Inatisha sana
Mufti Lion said: Ila inatisha kuondoa ugai wa binadamu. Sijui Kwa nini nimeangalia hii video. Click to expand... Inatisha sana
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Apr 22, 2023 #22 Acha wapigane siku wakitulia wataheshmiana hao.ivyo ndio sahihi bila hivyo awatopata akili mbwa hao.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Apr 22, 2023 #23 Mnaunda watu kama Janjaweed kwenda kuua wenzenu wakimaliza hiyo kazi lazima watawarudia maana kuua ndiyo kazi yao. Binadamu bado ni mnyama.
Mnaunda watu kama Janjaweed kwenda kuua wenzenu wakimaliza hiyo kazi lazima watawarudia maana kuua ndiyo kazi yao. Binadamu bado ni mnyama.
shabanmbarak JF-Expert Member Joined Aug 17, 2022 Posts 1,178 Reaction score 1,150 Apr 22, 2023 #24 fired said: View attachment 2595295 Click to expand... Hii sio sudan bali ni south sudan. Africa tuligawanywa tugawanyika soo sad
fired said: View attachment 2595295 Click to expand... Hii sio sudan bali ni south sudan. Africa tuligawanywa tugawanyika soo sad