#COVID19 Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 za Corona

#COVID19 Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 za Corona

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 Corona.

Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopitaImage caption: Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopita.

Sudan Kusini imeharibu chanjo za virusi vya corona aina ya AstraZenica ikisema kuwasili nchini humo zikiwa karibu muda wake unakwisha.

Chanjo hizo zilikuwa zimetolewa kama msaada kutoka kwa kampuni ya Afrika ya mawasiliano MTN na Muungano wa Afrika mwishoni mwa mwezi uliopita.

Hatahivyo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Muungano wa Afrika CDC director John Nkegasong anasema walikuwa na muda wa kutosha kutumia chanjo hizo kabla hazijapitwa na wakati.

Sudan Kusini kwa sasa ni nchi ya pili baada ya Malawi kutangaza kuwa inakwenda kuharibu chanjo.

Hii inakuja wakati wakati nchi nyingine za Afrika zikahangaika kupata chanjo za kutosha.

Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopita.
 
Wazanzibari wawe makini na chanjo waliyopokea kutoka Marekani.
 
Hii ni vita. Mimi najua nyinyi hamuwezi kujua.

Alisikika Mwendazake mmoja akisema.
 
Back
Top Bottom