Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Dear Doctors,
leo asubuhi wakati najiandaa na namuandaa baby wangu twende clinic kuna hali flani ilinijia na nikawa siwezi kufanya chochote. It was very very sudden na ilianza kwa goose pimples kunijaa mwili mzima, nikaumwa na mifupa yote hadi spine na joints na kichwa kikauma vibaya mno upande wa kushoto. Nilitetemeka sana. I lay down for a while but I did not improve, kama nilikuwa sijachelewa chanjo za baby nisingeenda.
Anyway how would you diagnose my condition? I tested for malaria and bp but hamna parasites na bp iko vizuri. Isitoshe, after an hour or two I felt much better. What could it be?