[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu tueleweshane. hayo mambo hatuyajui wengi
sio wote wanasikiliza clouds!!😀😀😀 we jamaa nina wasi wasi na URAIA wako.
mojawapo mimi hapa. radio yangu ni TBC Taifa tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
sio wote wanasikiliza clouds!!
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] looh!watu mna vituko!!mojawapo mimi hapa. radio yangu ni TBC Taifa tu
XXL ni kipindi maarufu cha Burudani hapa Nyumbani ambacho huruka hewani kuanzia saa 7 mchana mpakaMkuu tueleweshane. hayo mambo hatuyajui wengi
sasa hutaki kuamini auuu?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] looh!watu mna vituko!!
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Ahsante mkuuXXL ni kipindi maarufu cha Burudani hapa Nyumbani ambacho huruka hewani kuanzia saa 7 mchana mpaka
saa 10 Jioni. XXL inasimama badala ya Extra Extra Large na huyu soud Brown ni moja kati ya Producers wa Hicho kipindi. Humo ndani ya XXL utapata habari za mastar hapa nyumbani na Nje, Utasikiliza ngoma kali hapa nyumbani na Majuuu, Biashara, na mzaga kibao yanayo wahusu vijana.
DONE!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] naamini Ila mie sikumbuki Mara ya mwisho kusikiliza TBC lini...sionagi wanachotangazasasa hutaki kuamini auuu?
Tbc Taifa ni kwa ajli yetu sisi watu wazima nyie vijana endeleeni na XXL zenu hizo. TBC Taifa ni zaidi ya Elimu[emoji1] [emoji1] [emoji1] naamini Ila mie sikumbuki Mara ya mwisho kusikiliza TBC lini...sionagi wanachotangaza
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji85] [emoji85] [emoji85] sawa bamdogo!!Tbc Taifa ni kwa ajli yetu sisi watu wazima nyie vijana endeleeni na XXL zenu hizo. TBC Taifa ni zaidi ya Elimu
Sio Head ni Heared=umesikika!YOU HEAD!!!!! Hahahaaa jamaa shushushu kinyama
Vijana wa Dar umbea upo kwenye DNA zao.....hata kimuonekane wanafanana na dada zao badala ya baba zao......
SHILAWADU-- Shirika la wambea dunianiSudy hajamtukana mtu yeye anawakilisha Shirawadu