Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Namaanisha sufi ile pamba inayopatikana kwenye ile miti mikubwa kama mibuyuMkuu sufu inatokana na manyoya ya wanyama, kondoo, sungura n.k
Sasa umesema unataka inayotokana na pamba?
Yes ni zile zinazotoka kwenye miti mkuuKama ndo zile zinazotoka kwene mti wa msufi nenda Tanga hasa Korogwe japo kwasasa misufi mingi watu wameiua au kuikata baada yakuona haina ishu
Sorry ni Sufi mkuu ile inayotoka kwenye mitiSufi na Sufu ni vitu viwili tofauti, sasa ieleze mahakama unataka Jaji aandike lipi?
Namsaidie Na Maeneo Aende Kwamdulu, Kwakombo Atapata Nyingi Hapo Korogwe. Morogoro Pia Tungi AtapataKama ndo zile zinazotoka kwene mti wa msufi nenda Tanga hasa Korogwe japo kwasasa misufi mingi watu wameiua au kuikata baada yakuona haina ishu
Haa HaaUtatumia zaidi ya laki 6 kupata hiyo tani 1 ya sufi. Hii ni biashara kichaa haifai
Sawa sawa mkuuNamsaidie Na Maeneo Aende Kwamdulu, Kwakombo Atapata Nyingi Hapo Korogwe. Morogoro Pia Tungi Atapata
Sawa mkuuHiyo Sufi inapatikana ktk maeneo kunakolimwa Zao la Mkonge au Kakao.Nenda mji unaitwa Maramba utaipata kwa wingi.Mji huu upo wilaya ya Mkinga mkoani Tanga.
Nimewasiliana nae muda huu kuhusu bei kulinganisha na ugumu wa upatkanaji amenijib kwamba ngoja afanye calculation then kesho atajibu khs kuongeza kiwango cha bei.Utatumia zaidi ya laki 6 kupata hiyo tani 1 ya sufi. Hii ni biashara kichaa haifai
Sawa mkuu,so huko kyela inapatikana maeneo mbali sana mashambani au?Tani Moja kuipata labda ualike Kijiji kizima kukusanya IPO nyingi tu kyela huku
Kama ipo sehemu moja tone moja unaipata kiurahisi tu mkuu.Tani Moja kuipata labda ualike Kijiji kizima kukusanya IPO nyingi tu kyela huku
Hiyo miti Kyela imeadimika sana,mitunda na mitumbati ilitumika sana kutengenezea mitumbwi kwa ajili ya kubhigilila (kuvulia) samaki mitoni na ziwani. Ila njia ya Malinyi nimeiona onaSawa mkuu,so huko kyela inapatikana maeneo mbali sana mashambani au?