N Nyanda21 Senior Member Joined Jun 6, 2016 Posts 134 Reaction score 60 Nov 2, 2016 #1 Habari za muda huu wakuu.. Nmekuja kwenu kuomba msaada wa kuelekezwa wapi Sufi znapatikana na gharama zikoje Nina plan kuanza project ya kutengeneza mito. Karibuni kwa Mawazo mbarikiwe.
Habari za muda huu wakuu.. Nmekuja kwenu kuomba msaada wa kuelekezwa wapi Sufi znapatikana na gharama zikoje Nina plan kuanza project ya kutengeneza mito. Karibuni kwa Mawazo mbarikiwe.
kanjuki JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 209 Reaction score 95 Nov 2, 2016 #2 Tunduru zipo leta ofa upate mzigoo
N Nyanda21 Senior Member Joined Jun 6, 2016 Posts 134 Reaction score 60 Nov 3, 2016 Thread starter #3 kanjuki said: Tunduru zipo leta ofa upate mzigoo Click to expand... Fafanua mkuu
Eshy m.s JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 2,926 Reaction score 1,561 Apr 30, 2020 #4 Msaada jamani Anaejua sufi zinapatikana wapi atufahamishe