Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Leo baada ya kumsikia jaji akiitaja dhamana yake ambayo ni dola za Kimarekani milioni 25.
Naona mwisho wa huyu jamaa, ambaye ni mwazilishi mwenza wa Death Row Records, umekaribia sasa.
Manake ukijumlisha hii kesi ya mauaji inayomkabili sasa hivi pamoja na uzorotaji wa hali yake ya kiafya, sitashangaa kabisa kama tukisikia amefia jela kabla ya huu mwaka kuisha.