Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Waliopata pesa ya haraka haraka bila kuunganisha pesa hiyo na akili zao utawajua tu. Huyu ni mmojawapo.
Tatizo kubwa hapa hapa ni kushindwa kuunganisha pesa hiyo na akili zaoMkuu fuatilia historia ya suge ndo utajua kama kweli alipata hela yake haraka au determination za kupata hela kwa njia halali/haramu ndo zimemfikisha hapo mkuu
Tatizo kubwa hapa hapa ni kushindwa kuunganisha pesa hiyo na akili zao
Akina Michael Jordan na Magic Johnson waliunganisha pesa zao na akili zao wakati huyu na (unfortunately) Michael Jackson hawakufanya hivyo. I may be wrong!
Ningependa kujua matukio yake kama mawili matatu hivi yaliyofanya watu wanchukie!!
Au aonekane mbabe.
Ningependa kujua matukio yake kama mawili matatu hivi yaliyofanya watu wanchukie!!
Au aonekane mbabe.