Suge Knight aanguka mahakamani

Marion Hugh Knight, Jr. was born in Compton, California, the son of Maxine (Chatman) and Marion Knight, Sr.[SUP][2][/SUP] His name, Suge, derives from "Sugar Bear", a childhood nickname.[SUP][3][/SUP] He attended Lynwood High School in nearby Lynwood, California, where he was a football and track star. He graduated in 1983. From 1983 to 1985, he attended El Camino College on a football scholarship.[SUP][4][/SUP] In 1985, he transferred to the University of Nevada, Las Vegas, and played there for two years.[SUP][5][/SUP]
After college, Knight was not drafted by an NFL team, but was cut during training camp by the Los Angeles Rams. However, he became a replacement player during the 1987 NFL players' strike, and played two games for the Rams.

THESE ARE NO GANGSTA'S CREDENTIALS...
 
Sijui kwanini, huyu Jamaa namkubali na nitaendelea kumkubali sana, yaani napenda tu MATUKIO yake!
 
Khee! jamaa anaanguka mwenyewe! Duh kweli muda ni mwamuzi mzuri! Is he Suge or ???
 
safari hii sijui kama atachomoka maana kesi za kuua kaishachomoa nyingi...pia alituma watu wakamsainishe mkataba 'vanila ice' wa kujiunga na death row records huku wamemshikia bastola tumboni..ila darasani alikua yupo vizuri sana..
 
suge ni member wa Bloods, na wengi wanaomuongelea vibaya ni crips na wale ambao wanamuogopa,naamini tatizo kubwa la suge lilianza pale alipoondoka dre kwenye record label yake na msururu wa wasanii kuondoka,ni kweli ubabe wake unachangia upweke wake lakini ni vitu vya kawaida,eazy e hakuningingizwa kwenye ghorofa amuachie dre ...ila suge alikua ni mtu anaependa wasanii wake na kuwalinda akiwaekea security ya kutosha.

serikali baada ya kuanza kumfatilia biashara zake ndio alipoamua kuiuza studio yae na kutangaza kufilisika,kuanzia hapo things had not been the same,juzi tu hapa alipigwa risasi kwenye party ya chriss brown,pia aliwahi kupigwa na dogo mmoja hv,kesi zote hizi suge huwa hatoi report,...

life suck,sasa hv suge hana hela,umri umekwenda na pia zama zake zimeisha,so people are throwing punch at him,na ubaya hana nguvu ndani ya bloods,no one to protect him,he is the old Don thats fall lonely ,poor suge!

namuhurumia sana,simchukii lakini kanifundisha kitu kwa kweli
 
wakati marehemu tupac akiwa jela alimuwekea dhamana ya bei gani? mbona hamna shukrani?
 

ina maana hata wasanii waliokuwa chini ya label yake kipindi hicho wameshindwa kumsaidia?
 
Robert Durst mtoto wa tajiri bond Yake haifiki j
Hapo .Hii ni campaign against rap music according to Bill oreilly ,Oprah eti Rap music Ina shabikia violence and use of guns .Hawatamwachia Huyu na watu wanasema alimuua Tupac
 
Ningependa kujua matukio yake kama mawili matatu hivi yaliyofanya watu wanchukie!!
Au aonekane mbabe.

Republican judge huyo .Bill oreilly yupo kwenye campaign ya kuua Rap music watahakikksha hatoki
 
huyu jamaa ni mbwa sana sasa hvi kapunguza Wasanii wa Marekani hamna tena ma beef kama kipindi akiwa hai 2pac! huyu suge akiwa na beef na wew usipo mwai kumuuwa lazma atakuuwa tu! nawasiwasi kuwa jamaa walisha mchoma sichano ili wamuuwe!

Yeaah man jamaa alikua mafia sanaa inasemekana deathrow was involved wit drug trafficking na huyo msela aliweka baadhi ya police officers mfukoni kwake...Alimfata Dr. Dre home kwake na genge la majambazi wakiwa na ma Rungu ya baseball...akimtaka Dr. Dre kibabe atoe master copy kadhaa za album zake na tupac kipindi dre ameondoka deathrow.

Dr. Dre aliingia loss kibao ya hzo royalties...jamaa alikua mtata kweli kweli na like ilikua huwez mfanya kitu, alikua na mtandao mkubwa sana wa magenge ya kijambazi. Alimsignisha mkataba Eazy E wa kum release Dr. Dre kipindi akiwa Ruthless records kibabe, Eazy E alikua anamchukia sanaa huyu msela....at the time of his peak alikua anaogopeka sana. Hayo ni tone tu katika ndoo ya maji ya maovu yake.

Huyu jamaa angekua Mtanzania na serikali yetu ilivyo ya ki f*la f*la ...angekua one of the richest niggaz in tha country angeogopeka sanaa. Mtu ameishi kibabe marekani na akawin sembuse bongo.
 
safari hii sijui kama atachomoka maana kesi za kuua kaishachomoa nyingi...pia alituma watu wakamsainishe mkataba 'vanila ice' wa kujiunga na death row records huku wamemshikia bastola tumboni..ila darasani alikua yupo vizuri sana..

Mkuu Suge Knight hajawahi kutaka kumsainisha Vanilla Ice Deathrow (Vanilla hana talent hiyo). Kilichotokea ni kuwa kuna dogo mmoja alikuwa ni "ghostwriter" wa Vanilla. Baada ya Vanilla ku-hit na ngoma kama "Ice Ice Baby" na "Play That Funk Music" akampotezea dogo akawa hampi credit na pasu yake ya loyalties (mrahaba). Ndipo dogo akaenda kwa Suge ili amsaidie. Kipindi hicho hata Deathrow ilikuwa haijaanzishwa (Suge alikuwa bodyguard wa Bobby Brown).

Suge akaenda Miami ambako Vanilla alikuwa anaishi. Vanilla akaitwa kwenye hoteli aliyofikia Suge ambapo Suge alikuwa anakaa kwenye ghorofa ya sita. Alipoingia ndipo Suge akamwambia kuwa yeye ndiye meneja wa yule dogo na amekuja kuchukua hela yoote ambayo dogo alkuwa hajalipwa. Vanilla akawa mbishi, ndipo jamaa zake Suge wakamchukua na kumpeleka dirishani mwa chumba na kumwambia kuwa usipompa dogo hela yake utatokea dirishani badala ya mlangoni, Vanilla akaufyata.
 
safari hii sijui kama atachomoka maana kesi za kuua kaishachomoa nyingi...pia alituma watu wakamsainishe mkataba 'vanila ice' wa kujiunga na death row records huku wamemshikia bastola tumboni..ila darasani alikua yupo vizuri sana..

Easy E duh ebana nimeikubali sana hii name copy.
 

Unajua kuna case/situation zingine kwenda police is a complete waste of time...Hata hapa bongo wako such people kama Suge and they are extremely feared and powerful. You just have to give them a simple cut (money) sometimes just sincere friendship and ur enemies are likely to fear you all their lives. Ukiangalia gangsta movies like Goodfellas, The Godfather, Gotti to mention a few utanielewa nachosema. I have practised that kind of intelligence and trust me it works. No one z gana f*ck wit u. Good example angalia hata maisha ya boarding school kama umeshawahi yapitia....its tha same.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…