Suge Knight aanguka mahakamani

Thread hii imenirudisha more than 20 years back, where Rap was real. Thanks Nyani Ngabu for the thread, the old and dear 90's are reeling back in my memory.
 
hiyo ni code of conduct ya gang member yoyote,never cooperate with a cop

Inategemea bro, wanasema hata Cops ni gangstas who are in uniforms. Pia na akili yako unaco-operate nao kivipi. Watu kama Frank Lucas, kama umeangalia American Gangsta alitoa ushirikiano kwa hao jamaa na kuepuka adhabu kubwa zaidi.

Kuna jamaa anaitwa Dudus, alikuwa King flani Jamaica. Alikamatwa na akatoa ushirikiano, na akaepuka adhabu kubwa pia.

Sometimes Gangstas wana-deal na Cops, Big Suge mwenyewe alikuwa na couple of cops on Death Row's payroll, na alikuwa anawauza wapinzani wake kwenye deals chafu, in return issues zake baadhi zinafumbiwa macho. Bodyguards wake wengi walikuwa ex-cops. Cha muhimu ni survival tu
 
hakuna ushirikiano kwenye mambo hayo ya mauaji bro niamini,Frank Lucas hakushirikiana na cops,ile iliwekwa kwenye movie tu kuleta utamu alieshirikiana na cops anaitwa nicky barnes,na ilikua sio kwenye mauaji ....hii nitafute nikueleweshe mzee...
 
sijui kwann sitakaa niamini kuhusu suge bro,ila kwa taarifa yako ni hv,
1.siku ya shooting ya pac,aliemwambia big frank asiride na pac ni pac mwenyewe,na sababu ni kuwa outlawz walikua wamelewa mno,so aliambiwa awaendeshe.
2.Orlando alikua ameshikiliwa na walinzi wa MGM,sio kwamba alikua anahang tu,aliemwambia pac kuhusu orlando ni mmoja wa wapambe wa suge ila sio suge.
3.orlando kabla ya kifo chake,aliwahi mara kadhaa kutamba kuwa amemuua makaveli
 

Hivi nini maana hasa ya Gangstar? Na ina impact gani kwenye Hiphop?
 
1) Learn English.
2) If I'm dumb then you are dumber!
3) I'd rather be dumb than a dick rider (of which you are).
4) Go kick rocks and die.

1.I will not learn english
2.you are still a dumb hater (since you agree with me that you are dumb)
3.you are dumb and full of fear

unaonekana muoga na mwenye maneno mengi mno,mtu kama suge kwako unaona hata sio binadamu ni lidubwasha
je ungekutana live na banjoo,kijana wa nyari si ungejinyea?
 

Yeaah! It makes some senses to me.
 

The niqqas are about to turn on capslock. Calm the f*uck down niqqas.

Its all gud!
 
1.I will not learn english

With your pea-sized brain, I figured as much!

2.you are still a dumb hater (since you agree with me that you are dumb)

Fine. I'd rather be "a dumb hater" than be a dick rider, of which you are.

3.you are dumb and full of fear

Dumb? Maybe. Full of fear? Nah, I ain't never scared.

unaonekana muoga na mwenye maneno mengi mno,

Hayo ni maruerue yako tu. Wahi ukapimwe afya ya akili yako kwani moja ya dalili za ugonjwa wa akili ni kuona maruerue.

mtu kama suge kwako unaona hata sio binadamu ni lidubwasha

Naanza kuamini kweli waweza kuwa mgonjwa wa akili wewe.

je ungekutana live na banjoo,kijana wa nyari si ungejinyea?

I ain't never scared...I thought I told ya.
 
Unaweza ukasikiliza mziki mzuri,beats kali,watu wanahit na wana majina,kumbe wanavyoendesha kazi zao ni kufa kisabuni
 
hakuna ushirikiano kwenye mambo hayo ya mauaji bro niamini,Frank Lucas hakushirikiana na cops,ile iliwekwa kwenye movie tu kuleta utamu alieshirikiana na cops anaitwa nicky barnes,na ilikua sio kwenye mauaji ....hii nitafute nikueleweshe mzee...

Dude, do your homework. Kwenye vitu vingi vimekuwa exaggerated, ila think about this, police wali-seize assets zote za mshkaji na walikuwa na hard evidences to put him away for good years, probably forever. Kama Frank hakushirikiana na police, then ilikuwaje akatumikia miaka michache tu ya kifungo chake? Na kwanini familia yake iliwekwa under witness protection program? Think about.

Btw, the real Frank Lucas alikuwa na series za interviews zake zinaonyeshwa Bet Africa kipindi flani. So i know a little more than just a movie. + kila j'mosi kuanzia saa 4 usiku, CI (chan.170) wana vipindi vinavyohusu gangstas and gangs, u can add to your knowledge a thing or 2, if interested.
 

1. Big Frank nilikuwa na documentary flani, too bad siikumbuki jina, ambayo anasema mwenyewe Big Suge ndio aliyemwambia asi-ride na Pac that night. Na if i'm not mistaken, Outlawz members waliokuwa eneo la tukio, ni Pac mwenyewe na ED I-mean.

2. Mmoja wa wapambe wa Suge, ni kweli. Huitaji kutumia nguvu sana kuelewa uhusika wa Suge hapo bro.

3. Orlando alikuwa anajisifu kumuua Pac kichini chini for one main reason, street and gang credibility, any Punk woulda done the same. If you bought his bs, then that's a shame bro. So long.
 
Hivi nini maana hasa ya Gangstar? Na ina impact gani kwenye Hiphop?
Gangsta ni mwanachama wa kikundi chochote kinachoishi kwa miiko yao wenyewe, na wanaishi kwa kutegemea uhalifu.

Ina impact kubwa kwenye rap game kwa sababu rappers wengi wana ufinyu wa akili kama wengi wa sisi mashabiki wao, na ni waongo na waigizaji pia.

Moja ya malengo makubwa ya Hip-Hop wakati inaanza ilikuwa na nia kuwaepusha vijana kujihusisha na mambo ya kihalifu. Ila wenye dunia yao wakageuza mchezo, wakaanza ku-support rappers waliosifia uhalifu, na waliokuwa na ushawishi katika jamii. Biggie Smallz ni mfano mzuri. Jay-Z, Lil Wayne
 
Basi ukiona hvyo we bado bwana mdogo sanaaa hapa town....Wapo sanaa, there are people bongo hii hii who can't be touched...Ongea na watu vizuri. Tena wengine ni watu wazima huwez wadhani kabisa filthy rich and very calm.

Mkuu sizungumzii watu ambao can't be touched, hao nawajua. Nazungumzia watu ambao kama mtu anakuzingua na hela yako kwa mfano unaweza kwenda na ukapata huduma ya kwenda kumu-intimidate huyo mdeni wako mpaka akulipe, hao ndio nawataka.
 
nani sasa? dre shoga? au kurupt? sio ndio yupo na dre DPG? nate dog labda lakini ndio alishatangulia mbele ya haki
outlawz hawako vizuri kiivyo,

Unamuita Dre shoga halafu unawaita wenzako haters, wewe ndio hater namba moja. Unategemea Dre amsaidie kwa nini? Suge hakumpa Dre percentage yake ya umiliki alipoondoka Deathrow, alimwambia kama unaondoka we ondoka tu hupati kitu hapa. Dre ikabidi aanze upya na Aftermath. Sasa unategemea leo amsaidie? Kwanza hawakuwa marafiki kihivyo. Mbona Dre alikuwa na bifu na Easy E lakini baada ya Easy kuanza kuugua Dre akamsaidia? Ni kwa sababu they were homies. Suge aliwa-treat vibaya watu wengi sana ndio maana hakuna anaye-shed any tear over him.
 
Mhhh yan me naona chenga tu ata sielewi kitu.....ngoja nipite tuuuuu.....
 

sawa mkuu, ila mbona Pac hujamtaja?
 
sawa mkuu, ila mbona Pac hujamtaja?

Pac was for Thug Life, other Cats were/are for 'from rags to riches', ila to me it sounds like 'Through drugs to riches'. Pac's Thug Life ilipigwa/inapigwa vita kwa nguvu zote, ndiyo iliyomuua eventually.
Hii ndio kwa ufupi nini Pac alimaanisha na Thug Life


'A place to spend my quiet nights, time to unwind
So much pressure in this life of mine, I cry at times
I once contemplated suicide, and woulda tried
But when I held that 9, all I could see was my momma's eyes
No one knows my struggle, they only see the trouble
Not knowin' it's hard to carry on when no one loves you
Picture me inside the misery of poverty
No man alive has ever witnessed struggles I survived
Prayin' hard for better days, promise to hold on
Me and my dawgs ain't have a choice but to roll on
We found a family spot to kick it
Where we can drink liquor and no one bickers over trick shit
A spot where we can smoke in peace, and even though we G's
We still visualize places, that we can roll in peace
And in my mind's eye I see this place, the players go in fast
I got a spot for us all, so we can ball, at thug's mansion'

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…