Suggestion formation ya Match ya leo Simba vs Galaxy

Suggestion formation ya Match ya leo Simba vs Galaxy

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Simba ni kama maji.

Ndio team pekee inayotung'aalisha kimataifa.

Ninaweka mapendekezo yangu ya formation ya leo.

Lengo ni kwamba leo tunataka kufunga mengi.

Screenshot_20211024-135518.png
 
Mbona umepanga mazee matupu? Usijidanganye na uliyoyaona kwenye first leg yakija kwenye uwanja teleza watawasunbua sana na sasa hawana cha kupoteza walishafungwa nyumbani watafunguka sana
 
For for ngapi hiyo somesheni?🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Morrison na Dilunga ni Wingers wakali sana wenye speed ya kuharakisha mashambulizi. Vilevile kwa sasa Morrison ameimarika sana amekuwa na uwezo wa kushuka kuja kusaidia team wakati inashambuliwa.

Morrison anawafanya opponents wamfanyie faulo kutokana na namna yake ya uchezaji. Hii inafanya team hiyo waweze kufanya makosa mengi.

Nimeamua kumuweka Mzamiru badala ya Kanoute kutokana na kwamba Mzamiru ni box to box midfielder. So tukiwa tunashambulia anaweza kuongeza idadi ya washabukiaji na kuwa watano kwenye box ya mpinzani.
Vilevile tukiwa tunashambuliwa yupo na uwezo wa kurudi haraka na kujaza nafasi huku akimsaidia lwanga.
 
For for ngapi hiyo somesheni?🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Hiyo inaitwa 4-3-3
katikati kunakuwa na Pivot. Lwanga kazi yake ni kukata umeme.
Huku Bwalya ni kuchezesha team.

Mzamiru akiwa na free role.
 
Mbona umepanga mazee matupu? Usijidanganye na uliyoyaona kwenye first leg yakija kwenye uwanja teleza watawasunbua sana na sasa hawana cha kupoteza walishafungwa nyumbani watafunguka sana
Duh!! Wazee watupu!!! Kivipi mwanangu.
 
Hii ni shape ya team wakati tunashambulia
Screenshot_20211024-141356.png
 
Dilunga na Morison wote hawana sifa ya kushuka kusaidia ulinzi,wavivu sana kushuka.
Siku hizi Morrison anashuka but nadhani Dilunga bado kidogo.
Duncan anakipiga sana pamoja na Sakko anapanda na kushuka kwa speed Kali.
 
Sakho na Duncan nyoni wakianza wanaweza kusumbua tim pinzan
 
Mbona umepanga mazee matupu? Usijidanganye na uliyoyaona kwenye first leg yakija kwenye uwanja teleza watawasunbua sana na sasa hawana cha kupoteza walishafungwa nyumbani watafunguka sana
Kauze MAVI hujui chochote dada
 
Back
Top Bottom