Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Hiyo inaitwa 4-3-3For for ngapi hiyo somesheni?🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Duh!! Wazee watupu!!! Kivipi mwanangu.Mbona umepanga mazee matupu? Usijidanganye na uliyoyaona kwenye first leg yakija kwenye uwanja teleza watawasunbua sana na sasa hawana cha kupoteza walishafungwa nyumbani watafunguka sana
Dilunga na Morison wote hawana sifa ya kushuka kusaidia ulinzi,wavivu sana kushuka.Shape ya team wakati tunashambuliwa
View attachment 1985315
Siku hizi Morrison anashuka but nadhani Dilunga bado kidogo.Dilunga na Morison wote hawana sifa ya kushuka kusaidia ulinzi,wavivu sana kushuka.
Kauze MAVI hujui chochote dadaMbona umepanga mazee matupu? Usijidanganye na uliyoyaona kwenye first leg yakija kwenye uwanja teleza watawasunbua sana na sasa hawana cha kupoteza walishafungwa nyumbani watafunguka sana
Hawa wazee wamekukosea nini,Simba ni kama maji.
Ndio team pekee inayotung'aalisha kimataifa.
Ninaweka mapendekezo yangu ya formation ya Leo.
Lengo ni kwamba leo tunataka kufunga mengi.
View attachment 1985309
Sasa nadhani wee changudoa umeelewa nilichomaanishaKauze MAVI hujui chochote dada