New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Suggestions for Media Performance Optimization on JamiiForums
Salamu Habari Wakuu,
Nilikuwa nimeona vitu kadhaa ambavyo ningependa vifanyiwe maboresho ya haraka hapa JamiiForums ili kuboresha mtandao huu, hasa katika sehemu ya media (videos na picha) na kuhakikisha ufanisi wa matumizi ya data na utendaji mzuri wa mtandao. Hapa chini ni baadhi ya changamoto zilizobainika pamoja na mapendekezo:
---
1. User-initiated Video Playback
Tatizo: Sasa hivi, video zinapofunguliwa kwenye feed zinacheza moja kwa moja, hata kama mtumiaji hajaziamua. nafikiri hili tatizo sio geni hata kwa watu wengine kuliona Hii inasababisha matumizi yasiyo ya lazima ya data kwenda haraka na inaweza kupunguza performance kama vile page kukwama kwama kwa watumiaji wenye data ndogo.
Mapendekezo: Nashauri tutumie video playback inayozinduliwa tu wakati mtumiaji anabonyeza play. Video zisichezee nyuma ya skrini background au bila hisia ya mtumiaji. kwamba mtumiaji lazima afungue video kwa ku click play button ndio video ifunguke, sio video hujafungua tayari ishaanza kuplay on background.
2. Pause Videos When Off-screen
Tatizo: Video zinapoendelea kucheza hata mtumiaji hajaziangalia au zimeondoka kwenye screen, inapelekea utumiaji wa CPU, RAM, na data usio wa lazima. Hii ni ile hali inayofanya video ziendelee kuplay hata kama mtumiaji ameteremka chini ya video hiyo. unakuta anasoma comment chini lakini video huku juu bado inaplay hili ni tatizo.
Mapendekezo: Nashauri kuwe na Automatic pause video zinapozidi kutoka kwenye viewport, ili kuboresha performance na ufanisi wa data, kwamba video inaplay tu ikiwa kwenye usawa wa screen yako sio unasoma comment alafu bado ina play.
3. Avoid Loading All Media Simultaneously
Tatizo: Feed inajaribu kupakia picha na video zote kwa wakati mmoja, na kusababisha buffering, kuongezeka kwa latency, na matumizi makubwa ya data. Mfano kama picha au video zikiwa mia mbili kwenye chapisho ukifungua tu page picha zote na video zinafunguka kwa wakati mmoja hii inaweza kupelekea tatizo la data na performance ya mtandao.
Mapendekezo: Nashauri tutumie Implement loading strategy inayopunguza idadi ya media zinazopakuliwa kwa wakati mmoja kwenye feed, hasa zile ambazo hazionekani sasa. hii inakuwa inafungua tu video na picha kadhaa hata moja au mbili zilizo kwenye usawa wa screen yako tu na sio kufungua picha hata mia mbili 290 kwa pigo moja.
4. Lazy Loading
Tatizo: Sasa hivi media zote zinapakika moja kwa moja bila kutegemea mahali zilipo kwenye screen.
Mapendekezo: Tumia lazy loading kwa picha na video, ambapo media zinapakia tu pale zinapokaribia kuonekana kwenye viewport.
5. Blurred Tiny Placeholders
Tatizo: Media zinapopakika, skrini inabaki tupu au inacheza polepole, hali inayosababisha experience duni kwa mtumiaji, mfano picha inaanza kufunguka kutoka utupu mweupe tena taratibu hadi kuwa picha kamili hili ni tatizo.
Mapendekezo: Tumia blurred, low-resolution placeholders (tiny previews) kabla ya picha/video kamili kupakia, ili mtumiaji aone content instantly huku ikipakia kwa background. Unafungua picha unaoina haraka sana lakini inaongezeka quality taratibu hadi inakamilika sio unaona utupu halafu ndio picha ije.
6. Caching / CDN Integration
Tatizo: Media zinapakiwa mara kwa mara kutoka server moja, hali inayosababisha latency na kupungua kwa responsiveness. Hii ni ile hali inayopelekea picha kufunguka mara kwa mara upya hii inamaliza pia data.
Mapendekezo: Implement caching strategies na Content Delivery Network (CDN) ili media zipatikane haraka popote mtumiaji alipo. Hakuna picha au video inayofunguka mara mbili ikifunguka tu mara moja inatosha, mfano picha zipo miambili video 50 unakuta zimefunguka mara ya kwanza lakini baadae zinafunguka tena mara ya pili hali inayopelekea tatizo kwa mtumiaji hasa kwenye performance na kupoteza data bila sababu za msingi.
7. Virtualized Feed
Tatizo: Feed nzima inapakia elementi zote za media, hata zile ambazo hazionekani, hali inayosababisha memory consumption kubwa na mtiririko polepole wa feed.
Mapendekezo: Tumia feed virtualization ili ku-load tu media zinazohitajika kuonekana kwenye screen, na kuondoa zile zisizoonekana.
---
Mwisho
Hii approach itaboresha performance, kupunguza latency, na kufanya mtandao kuwa rafiki wa watumiaji wa data ndogo. Pia itasaidia kufanya JamiiForums iwe na experience ya kisasa na inayoendana na mitandao mingine ya kimataifa.
Ndugu Maxence Melo
Asante sana!