pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Pata flavor ya mheshimiwaWana JF, mnafahamu maneno aliyoyasema Mhesimiwa "sugu" kule musoma, sasa kauli yake hiyo binafsi sikuipenda kwani muziki ni ajira ambayo haifungamani na siasa, imewasiadia vijana wengi kupata ajira na kuwafanya waone "kumbe inawezekana".
Wana JF, mnafahamu maneno aliyoyasema Mhesimiwa "sugu" kule musoma, sasa kauli yake hiyo binafsi sikuipenda kwani muziki ni ajira ambayo haifungamani na siasa, imewasiadia vijana wengi kupata ajira na kuwafanya waone "kumbe inawezekana".

Hana kitu upupu mtupu huyu nae ni kati ya MIZINZI inayotaka sifa... Ni mjinga fulani kashapewa kubwa mbeya anaingia CHAKA siku hizi ktk kampeni alitoa ahadi kuwa baada ya siku 100 akipewa kura kuongoza jimbo la mbeya mjini atahakikisha anampokonya RC Gari na kuuliuza ili pesa itumike kwa kazi na masuala muhimu eti VX Ni anasa ajabu alipopita tu mkopo wa Mil.200 wa wabunge kakimbilia kununu BMW New series thamani ya Mil.80 anatanulia na Sugar mamy shyrose bhanj Mbona asijitole hata kujenga kijikituo cha afya au kununua madawati kwa wananchi wake waliomchagua anafanya mambo ya anasa ili hali alisema VY ya RC Mwakisepile ni anasa? NYAMBAF
Basi wadau, nimeshusha mikono kweli Mh. Mr. II a.k.a Sugu hana cha kuomba msamaha, ila kwa ufupi nilivyoona maoni yenu, siasa na wasanii ni kama upepo, ukikuvumia vizuri basi unakuwa mshindi, ukivuma vibaya basi wewe umeshindwa, Sugu yupo juu!!!! Na wasanii wanatakiwa wajifunze kuwa na moral conscience itakayowafanya waweze kuwa na utambuzi wa alama za nyakati, kwani sasa watanzania tumechoka, tunahitaji ukombozi, na inavyoonekana siasa ndiyo njia pekee ya ukombozi, na kupitia uimbaji kama wa wasanii wanaweza kutoa mchango mkubwa katika huu ukombozi!!!!
Huyo Sugu simply hana adabu...
yaah jamaa yupo sahihi angalia CCM ina miaka mingapi madarakani na hao wasanii unaowaongelea wana maendeleo gani mpaka sasa kila uchaguzi wanaahidiwa tu na kupewa vijisenti kwaajili ya kukipigia kampeni chama tawala hapo mr tu alivyoongea sio kwamba anawaponda hapana lengo ni kuikumbusha serikali iwakumbuke wasanii sababu mchango wao unaonekana man!
mie nafikiri hili sugu ana haki kulizungumzia kwani wasanii wengi walituhadaaa kwani wanaujua vizuri utawala wa ccm hivyo kama wazalendo walipashwa kuwa makini na nani wanampigia kampeni kwani wengi wao walikuwa hawalipwi na walikuwa wanasubiri fadhira za muheshimiwa na wanazisubiri sasa
Hana kitu upupu mtupu huyu nae ni kati ya MIZINZI inayotaka sifa... Ni mjinga fulani kashapewa kubwa mbeya anaingia CHAKA siku hizi ktk kampeni alitoa ahadi kuwa baada ya siku 100 akipewa kura kuongoza jimbo la mbeya mjini atahakikisha anampokonya RC Gari na kuuliuza ili pesa itumike kwa kazi na masuala muhimu eti VX Ni anasa ajabu alipopita tu mkopo wa Mil.200 wa wabunge kakimbilia kununu BMW New series thamani ya Mil.80 anatanulia na Sugar mamy shyrose bhanj Mbona asijitole hata kujenga kijikituo cha afya au kununua madawati kwa wananchi wake waliomchagua anafanya mambo ya anasa ili hali alisema VY ya RC Mwakisepile ni anasa? NYAMBAF
nyambaf wewe na wa kwenu wote... naona neno umejifunza jana basi kila post ndio kiitikioHana kitu upupu mtupu huyu nae ni kati ya MIZINZI inayotaka sifa... Ni mjinga fulani kashapewa kubwa mbeya anaingia CHAKA siku hizi ktk kampeni alitoa ahadi kuwa baada ya siku 100 akipewa kura kuongoza jimbo la mbeya mjini atahakikisha anampokonya RC Gari na kuuliuza ili pesa itumike kwa kazi na masuala muhimu eti VX Ni anasa ajabu alipopita tu mkopo wa Mil.200 wa wabunge kakimbilia kununu BMW New series thamani ya Mil.80 anatanulia na Sugar mamy shyrose bhanj Mbona asijitole hata kujenga kijikituo cha afya au kununua madawati kwa wananchi wake waliomchagua anafanya mambo ya anasa ili hali alisema VY ya RC Mwakisepile ni anasa? NYAMBAF