SUGU adai yeye ndiye muasisi wa Bongofleva

Yani Mtitii anavyoimbaa aiseee nje ya Beat kabisaa...!!
 
Ni kweli ni muanzilishi na legend lkn hajui kuimba huu ni ukweli tuache unafki, sugu anazidiwa kurap na uandishi na madogo hadi wa mtaani... apewe tu sifa za legend au muasisi wa hii game ila tusimpe sifa za kinafki na za uongo kuwa yeye ni mkali kurap huu ni uongo
 

Hahaha i concur with you
 
Hahaha i concur with you
Tatizo msichokijua ni kila mmoja ana radha yake na cyo kila msanii apendwe na watu wote but kubali ukatae sugu ni sugu tu ni baba wa huu mziki
Na pia ana kipaji kikubwa saana hip hop na majivuno ni mapacha
 
Tatizo msichokijua ni kila mmoja ana radha yake na cyo kila msanii apendwe na watu wote but kubali ukatae sugu ni sugu tu ni baba wa huu mziki
Na pia ana kipaji kikubwa saana hip hop na majivuno ni mapacha
Hana ladha yoyote huu ni uongo mnajifichia kwenye upinzani wake tu, kuna wasanii kibao wana ladha tofauti ila ni wakali yeye sugu hamna kitu
 
Vipi kuhusu Niga One wa Mawingu Band$

Kina Ramso wanajua who is who
 
Mkuu mbona una hasira? Wapi kasema yeye ni mkali kuliko wote? Mbona unamlisha maneno?
 
Huwa naona kama jamaa anakuwa overrated sana. Binafsi sioni kipaji pale.
Sugu ukimsikiliza leo huwezi ona kipaji ila ungekuwepo enzi zile ungempigia salute tu
 
Jabir na sugu nani alianzisha kufoka kibongo?
 
Sugu sio mwanzilishi wa Bongo flavor na wala sio mwanzilishi wa hip hop Bongo. Huu ni uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…