Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Umedanganywa kibwege sana!Sawa.
[Wewe ulikacha maandamano]
Mbeya _,Mbeje!Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa
Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha Kutisha!
View attachment 3118253View attachment 3118254View attachment 3118255
AsanteUmedanganywa kibwege sana!
Huna hojaAsante
[Wewe ulikacha maandamano]
KabisaMafuriko...
SawaHuna hoja
Mnatia huruma sana wewe na huyo Baby Yako Sugu ,sura yake tuu inaonesha amekata tamaa hawezi maliza pambano π€£π€£Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa
Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha Kutisha!
Soma Pia: Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga
View attachment 3118253View attachment 3118254View attachment 3118255
Rushwa za Uchaguzi zitaliwa tu na watu wataamuaMnatia huruma sana wewe na huyo Baby Yako Sugu ,sura yake tuu inaonesha amekata tamaa hawezi maliza pambano π€£π€£
Mwenzie anasimika maendeleo yeye anauza empty words ππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DAsxEMdNSzH/?igsh=MjViZjF1OGc1cjNh
Miaka 10 alisahau nini huko huyo Babu Yako?ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAyx01hNf1x/?igsh=MWZhbzdneTV5Njd2YQ==
Hiyo Hela ni ya Samia ametoa mfukoni kwake? Spika eti ana PhD tena ya sheria! Kilaza mkubwa na chawa sana!Mnatia huruma sana wewe na huyo Baby Yako Sugu ,sura yake tuu inaonesha amekata tamaa hawezi maliza pambano π€£π€£
Mwenzie anasimika maendeleo yeye anauza empty words ππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DAsxEMdNSzH/?igsh=MjViZjF1OGc1cjNh
Miaka 10 alisahau nini huko huyo Babu Yako?ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAyx01hNf1x/?igsh=MWZhbzdneTV5Njd2YQ==
Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa
Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha Kutisha!
Soma Pia: Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga
View attachment 3118253View attachment 3118254View attachment 3118255
Huyu bibi ni mshirikina hatariHiyo Hela ni ya Samia ametoa mfukoni kwake? Spika eti ana PhD tena ya sheria! Kilaza mkubwa na chawa sana!
Huyu ajuza na mshirikina lazima akimbie MbeyaMnatia huruma sana wewe na huyo Baby Yako Sugu ,sura yake tuu inaonesha amekata tamaa hawezi maliza pambano π€£π€£
Mwenzie anasimika maendeleo yeye anauza empty words ππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DAsxEMdNSzH/?igsh=MjViZjF1OGc1cjNh
Miaka 10 alisahau nini huko huyo Babu Yako?ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAyx01hNf1x/?igsh=MWZhbzdneTV5Njd2YQ==
jipeni matumaini wapinzani wakudumu wasindikizaji katika siasa tulia mitano tenaHii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa
Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha Kutisha!
Soma Pia: Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga
View attachment 3118253View attachment 3118254View attachment 3118255
CCM ina wenyewe, wewe haupo.jipeni matumaini wapinzani wakudumu wasindikizaji katika siasa tulia mitano tena