Pre GE2025 Sugu afanya amsha amsha Mbeya Vijijini

Pre GE2025 Sugu afanya amsha amsha Mbeya Vijijini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Baada ya kimya cha muda kidogo Sugu ameingia mtaani kupiga kampeni ya kimya kimya huko vijijini
=====================

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa na wananchi wa Kata ya Ilungu katika Jimbo la Mbeya Vijijini baada ya kuzungumza nao leo Ijumaa, Februari 7, 2025.

 
Sugu ni fisadi, kanunuliwa na pesa za Abdul - Tundu Antipasi Lissu, 2025
 
Hivi kwann chadema wanapenda kutumia misemo ya lugha ya kiingereza?

1. People's power.
2. Stronger together.
3. No election, no reform.
N.k
 
Hivi kwann chadema wanapenda kutumia misemo ya lugha ya kiingereza?

1. People's power.
2. Stronger together.
3. No election, no reform.
N.k
Kingereza ni mojawapo ya lugha rasmi zitumikazo Tanzania
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom