Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Weka Ushahidi wako au wa LissuSugu ni fisadi, kanunuliwa na pesa za Abdul - Tundu Antipasi Lissu, 2025
1. Ina-sound vizuriHivi kwann chadema wanapenda kutumia misemo ya lugha ya kiingereza?
1. People's power.
2. Stronger together.
3. No election, no reform.
N.k
Hayo mambo yashapitwa na wakati. CHADEMA ishapata uongozi mpya shika jembe kalimeSugu ni fisadi, kanunuliwa na pesa za Abdul - Tundu Antipasi Lissu, 2025
ili wakinakibajaji watoke watupuHivi kwann chadema wanapenda kutumia misemo ya lugha ya kiingereza?
1. People's power.
2. Stronger together.
3. No election, no reform.
N.k
Wanatumia kiingereza ili Babu Tale, Mwijaku na Stive Mengele wasiwahi kuelewaHivi kwann chadema wanapenda kutumia misemo ya lugha ya kiingereza?
1. People's power.
2. Stronger together.
3. No election, no reform.
N.k
Kuna ile M4C iliwapelekesha mpaka mgombea wenu akaitumiaHivi kwann chadema wanapenda kutumia misemo ya lugha ya kiingereza?
1. People's power.
2. Stronger together.
3. No election, no reform.
N.k
Kingereza ni mojawapo ya lugha rasmi zitumikazo TanzaniaHivi kwann chadema wanapenda kutumia misemo ya lugha ya kiingereza?
1. People's power.
2. Stronger together.
3. No election, no reform.
N.k