Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
Big mistake kwa Clouds! Sikutegemea Kusaga afanye makosa kama haya! Wengi wanadhani kwakuwa Ruge ana media itampa advantage! Kwanza Clouds wataua media zao wenyewe! Watu wakiichukia media yako lazima ife kama Uhuru Public.ingawa inabebwa na serikali hata Clouds mabadiliko ya utawala na mtizamo hasi wa wananchi utaua ile Media! Sugu mnamchukulia poa lakini anaoushawishi kama hamuamini subiri muone! Ruge hana busara kabisa! Hili swala angeweza kulimaliza kiutu uzima aendelee na bness zake za entertainment! Najua tutachangia hapa ki ccm na ki CDM lakini kwa wanaojua ukweli halisi wa bifu za Musiki na nini wanasimamia Vinega utajua nini kitachotokea!Joseph Mbilinyi
TAARIFA YA MASIKITIKO:
WALIKUJA NA KUOMBA MUAFAKA NASI TUKAKUBALI KWA AJILI YA AMANI NA MAENDELEO YA SANAA, NAMI KAMA KINEGA MWANDAMIZI NA PIA KIONGOZI MBUNGE) NIKACHUKUA MAAMUZI MAGUMU YALIYOLETA MACHUNGU YA LAWAMA TOKA KWA MASHABIKI WETU AMBAO KIMSINGI NILIWAELEWA AND I TOOK EVERYTHING AS A MAN...
BADO NASIMAMIA KUWA CHOCHOTE NILICHOFANYA NILIAMINI KUWA NILIKUWA NAFANYA KITU POSITIVE, LAKINI KUMBE WENZETU HAWAKUWA NA NIA NJEMA WALA DHAMIRA YA KWELI YA KUTAKA MUAFAKA BALI WALIKUWA NA AJENDA ZAO ZINGINE, MAANA MPAKA LEO HII HAKUNA HATA MOJA WALILOTEKELEZA KUTOKANA NA ULE MUAFAKA, NA ZAIDI MARA WANAKUJA NA HILI LINGINE LA KUWASHTAKI MAPACHA NA HUKU NI WAO WALIOSEMA TUNAANZA 'MWANZO MPYA'...A
MBAPO MIMI NILISEMA HAKUNA VITA ISIYOKUWA NA MALENGO NA NILIAMINI KWA DHATI MALENGO YETU SASA YALIKUWA YAMETIMIA...SASA WAO WANAPOJARIBU TENA KUVURUGA UTEKELEZAJI WA MALENGO BASI HAKIKA MALENGO YANAKUWA HAYAJATIMIA NA MAPAMBANO 'INALAZIMIKA' YAENDELEE...
My take:
Hili nililiona tangu mwanzo, kwani Kenge ni Kenge tu (RUGE) hawezi Kuwa Mamba!
Big mistake kwa Clouds! Sikutegemea Kusaga afanye makosa kama haya! Wengi wanadhani kwakuwa Ruge ana media itampa advantage! Kwanza Clouds wataua media zao wenyewe! Watu wakiichukia media yako lazima ife kama Uhuru Public.ingawa inabebwa na serikali hata Clouds mabadiliko ya utawala na mtizamo hasi wa wananchi utaua ile Media! Sugu mnamchukulia poa lakini anaoushawishi kama hamuamini subiri muone!
Ruge hana busara kabisa! Hili swala angeweza kulimaliza kiutu uzima aendelee na bness zake za entertainment! Najua tutachangia hapa ki ccm na ki CDM lakini kwa wanaojua ukweli halisi wa bifu za Musiki na nini wanasimamia Vinega utajua nini kitachotokea!
Sugu ni mgonjwa wa akili. Huwezi kuingia mkataba wa usawa na mtu aliyekuzidi kisomo, lazima akupeleke choo cha kike