Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Nimeona hii aiseeSugu amesema hakutaka Chalamila apande kwenye steji kwa sababu hakutaka mambo ya kisiasi yaendelee na ilikuwa ni show ya muziki tu!
Hii alichofanya Sugu ni kizuri sana maana Chalamila akeleta uchawa wake wa kishamba kwenye burudani ya Muziki
Kwenye Ile video ukiangalia Kuna namna flan Sugu kamwambia PELEKA MATAKO YAKO!Sugu amesema hakutaka Chalamila apande kwenye steji kwa sababu hakutaka mambo ya kisiasi yaendelee na ilikuwa ni show ya muziki tu!
Hii alichofanya Sugu ni kizuri sana maana Chalamila angeleta uchawa wake wa kishamba kwenye burudani ya Muziki
Lakini Sugu amefuraishwa kuwaona Viongozi wakuu wa Chadema akiwemo Makam Mwenyekiti John Heche, Katibu Mkuu John Mnyika lakini kwa upande wa CCM nao walikuwepo akiwemo Meya wa Dar na Wabunge wa CCM
Ambapo kwa sasa hali si nzuri maana Chadema Na CCM kuonekana pamoja ni ngumu kwenye msiba wa CHADEMA, CCM awaendi kwenye Msiba wa CCM Chadema hawaendi
Chadema ni wapumbavu
Chadema ni wapumbavu
Sugu amesema hakutaka Chalamila apande kwenye steji kwa sababu hakutaka mambo ya kisiasi yaendelee na ilikuwa ni show ya muziki tu!
Hii alichofanya Sugu ni kizuri sana maana Chalamila angeleta uchawa wake wa kishamba kwenye burudani ya Muziki
Lakini Sugu amefuraishwa kuwaona Viongozi wakuu wa Chadema akiwemo Makam Mwenyekiti John Heche, Katibu Mkuu John Mnyika lakini kwa upande wa CCM nao walikuwepo akiwemo Meya wa Dar na Wabunge wa CCM
Ambapo kwa sasa hali si nzuri maana Chadema Na CCM kuonekana pamoja ni ngumu kwenye msiba wa CHADEMA, CCM awaendi kwenye Msiba wa CCM Chadema hawaendi
CCM wote ni mataahira kabisaChadema ni wapumbavu
Sugu moto chiniSugu amesema hakutaka Chalamila apande kwenye steji kwa sababu hakutaka mambo ya kisiasi yaendelee na ilikuwa ni show ya muziki tu!