Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

If you are in relationship, let your spouse know your capability, in and out. Don't hide when you are serious.

Let her/him know your likes and dislikes.

Let her/him know the reasons you can kill. Sorry for the word "kill", however let her/him know.

Let he/she know the consequences of saying things you dont need to be heard elsewhere.

Hutamsikia mama JM akimsema mume wake nje. Kwa sababu anamjua.
 
Faiza tatizo lake ni moja tu..kulialia na kulalamika mitandaoni, ila anayo hoja ya msingi.
Unajua kuna mambo mengine huwa tunalaumu wanaume ila sisi wanawake ndio tatizo, kuna baby momas wengine huwa ni drama queens ukiwaintertain unaweza jikuta unaharibu kila kitu. Japo kweli wapo wababa ambao huwa hawajali watoto wao ila huyu faiza anaonekana tu ana tatizo mahali.

Ukifuatilia trend ya hii movie yao,faiza bado anampenda sugu(alishasema mara nyingi tu) hajamove on, she still wants him, kwahiyo anatumia mtoto kama fimbo ya kumchapia sugu.
 
Sugu anajitia aibu bure na kuharibu future yake kisiasa huyu mwanamke hana cha kupoteza.
 
Ndiyo maana huwa nakupenda
 
Yaani hili huwa silielewiiiiii, mpaka huwa najishangaa au mie ndio mshamba wa hii mitandao!!!!

Wako selfish sana hao watu. Hapo wanachojali ni ego zao tu. Hawamfikirii mtoto wao. Hawafikirii kuwa ipo siku mtoto anaweza kuja kuona jinsi ambavyo baba na mama yake walivyokuwa wana misbehave hadharani kwenye social media. So shameful and disgraceful.
 
Exactly
 
wanawake wa mujini aina kama ya huyo faiza,sio wa kuzaa nao kabisa,wana nongwa sana.

rafiki yangu mmoja alishawahi kubwagiwa mtoto kazini.

alipigiwa simu na walinzi wa geti la kuingilia ofisini kwake,ikabidi asitishe shughuli zake kwa mda aende getini....ile kufika getini tu,akakibidhiwa mtoto wake.

kuuliza,walinzi wakamwambia kuna mwanamke anaitwa ashura kakuchamba sana hapa getini...mwishoni akatuachia huyu mtoto,alisema umezaa naye.
 
Sugu kumbe kiazi zaidi, unamjibuje mwanamke ktk mtandao wa kijamii?? Hapo yeye ndo kaonekana muongo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…