Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

Ni ubinafsi na aibu ya hali ya juu, sugu bora angejikalia kimya tu maana faiza anajulikana ni fyatu. Huu ujinga wao mtoto ndio victim, ila kwakuwa mama nae fyatu hata halioni hilo!!!
 
Hahahaha alitoka nae huko huko,huyu Dada nadhani mapenzi yanamtesa na hajapata wa kumkuna vzr kumshinda Sugu ndo maana haishi kuweweseka
Ni kweli..hizi ni genye na zinatokana na kutokunwa vizuri...sugu alikuwa mkunaji wake bora so kimalaya kinemiss mikuno ya kibabe kinaanza kumchokonoa msela.
naamini sugu atumie busara ya mikausho tuu...hawa malaya wa mjini dawa yao mikausho mpaka akili imkae sawa.
 
Ni ubinafsi na aibu ya hali ya juu, sugu bora angejikalia kimya tu maana faiza anajulikana ni fyatu. Huu ujinga wao mtoto ndio victim, ila kwakuwa mama nae fyatu hata halioni hilo!!!

Mimi niki misbehave namna hii hadharani Kisura atani - disown mazima.

Hahahaa....katasema 'you're not my daddy anymore' 😀😀

Na katakuwa na haki kabisa ya kunikana!!
 
Ndo shida ya kuchepuka hii sasa

Huku kunaitwa kuvuana nguo hadharani, Akili za huyu binti huwa anazijua mwenyewe!!!
 

Duh nimeelewa kwa nini Sugu yupo hivyo! Kaa mbali. Moto wayaka. Hela ya ubunge haitoshi
 
Huyo naye mbunge aliyepewa heshima na watu kuwawakilisha.

Sugu kichaa wangu, lakini hapa uli boogie man.
 
Yaani hili huwa silielewiiiiii, mpaka huwa najishangaa au mie ndio mshamba wa hii mitandao!!!!
Always huyu bidada huwa anaanzaga nadhani hii imekuwa Kama silaha yake ukizingatia position ya Mzazi mwenzie anajua fika atalazimika kujibiwa.


Sugu akubali kuubeba huu msalaba ni matunda ya Penzi lao, Ujinga wa Mzazi Mwenzie asiruhusu mwanae kuwa Muhanga wa matendo ya mama yake yeye magomvi yao hayamuhusu.

Akubali Yote, ajifanye mjinga for the sake of mtoto ambaye Hana hatia yoyote. Hakuna namna kwa sasa akabiliane na uhalisia tu.
 
Wanawake viumbe hatari sana, wanawavuruga vuruga wavulana wasiojitambua. Ona diamond naye...mobeto kafanya yake. Wanawake wana akili sana tena ni sikio la kufa...utajitutumua stejini...utajiita simba...lakini atakapokudaka tu, unakuwa zezeta. Pole sana wavulana wa lileo
 
That's my Sister Said that! [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…